Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wasanii wa kikundi cha ngoma cha Mtapenda cha Majimoto wilayani Mpanda kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kabla ya kuondoka kurejea Dar es salaam October 18, 2011. Kulia ni Waziri Mkuu,Mizengo Pinda.
JK akiwapungia mkono kuwaaga wananchi alipokuwa akipanda ndege tayari kurudi Dar es Salaam leo asubuhi. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
JK sasa nimeelewa kwanini ulimpeleka huyu mpiganaji Stella Manyanya Rukwa. Hapo lazima kitaeleweka, kazi itafanyika na wawekezaji wajipange tu. Tunataka watu kama hao. Dada Stella, kaza buti safari ndo inaanza.
ReplyDeleteLeanji Kyangwe.