Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu balozi wa Ujerumani nchini Mhe.Klaus-Peter Brandes na baadaye kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao maalumu cha wadau wa sekta ya nishati nchini kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo (picha na Freddy Maro)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...