Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto Jane Bernard muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mpanda,mkoani Rukwa ambapo alifungua kongamano la Uwekezaji katika ukanda wa Ziwa Tanganyika lililofanyika mjini Mpanda jana(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Yes,Hongera rais wetu Dkt.Jakaya Kikwete kwa kuonyesha upendo mkubwa kwa watoto,hii si mara ya kwanza unakuwa karibu na watoto na unaguswa na matatizo yao hapa Tanzania!Mungu akuzidishie Hekima na Upendo, You are a true Father!

    ReplyDelete
  2. mtoto anapendeza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...