Wadau watukufu popopte mlipo. Kama mnavyofahamu hivi sasa kuna vivutio kadhaa vya kitalii ambavyo vimeorozeshwa na kuanza kupigwa kura ili vipatikane vivutio saba vipya vitavyotambulika kama maajabu saba mapya ya dunia. Mlima wetu wa Kilimanjaro ni mojawapo ya vivutio hivyo katika kinyang'anyiro. Na ili Mlima Kilimamjaro ushinde unatakiwa kupiga kura katika fomu maalumu ambazo ziko online. 

Ni rahisi sana, wewe bofya link hiyo hapo chini na fuata maelekezo. Table Mountain wa Sauzi unapeta kinoma kwa sababu wenzetu wamechangamkia tenda hii, na wana kura kibao. Hivyo shime wadau popote mlipo duniani. Tumia dakika zako tatu tu kuupigia kura Mlima Kilimanjaro. Kufanya hivyo Bofya Link hiyo hapo chini na fuata maelekezo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. michuzi saa nyingine hizi link unazoweka jaribu kuzifungua kwanza. kwangu ie 9 yangu inaleta taabu nimefungua na firefox imefunguka. walio wengi wakishindwa kufungua wataacha kupiga kura hawatakuwa na wazo kama langu.

    mshauri

    ReplyDelete
  2. HIYO NAMBA YA 15021 UKITUMA INAKUPA JIBU MESSAGE IME 'FAIL" KUNA NINI? WENGI HAWANA WANAWEZA KUTUMA MESSAGE KUTUMIA SIMU ZAO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...