TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION wameadhimisha siku ya WAZEE DUNIANI kwa kuwatembelea wazee na kuwajuulia hali. Walibahatika pia kupata madaktari wanne kutoka Muhimbili waliojitolea katika zoezi hili muhimu.

TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION inawashukuru madaktari Dr Magesa, Dr Mboneka, Dr Evelyn Mkuchika, na Dr Omari Mahiza. Wameshinda nao kutwa bila lunch break.  Pia wameadhimisha siku ya wazee duniani kwa kutembelea Kijiji cha Wasiojiweza Msimbazi Centre




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...