Bi Mwantumu Mahiza, Mkuu wa mkoa wa Pwani ambae ndiye mgeni rasmi katika uzinduzi huo akizungumza na wananchi .
Kaimu mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ambae pia ni mkuu wa wilaya Kibaha Halima Kihemba akizungumza katika uzinduzi huo.
Mmoja wa wazee waliopigania uhuru Shekh Abdallah Masudi Jembe akizungumzia historia ya uhuru wa Tanzania katika uzinduzi huo.
Mkuu wa mkoa wa Pwani akionyeshwa kifaa cha kupimia viwanja katika banda la kilimo kwenye uzinduzi huo mjini Bagamoyo.
 Kushoto ni kaimu mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ambae pia ni mkuu wa wilaya ya Kibaha Halima Kihemba akifuatana na mkuu wa mkoa wa
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mwantumu B. Mhiza akiangalia bidhaa za wajasiliamali waliofika katika uzinduzi huo mjini Bagamoyo.
kikundi cha maonyesho kutoka chuo cha uhifadhi nyaraka na ukutubi Bagamoyo SLADS wakitoa burudani uwanjani hapo.Picha kwa hisani kubwa ya Mdau  Athuman Shomari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mnakosea jamani hapa, huu si uhuru wa Tanzania, ni uhuru wa Tanganyika, msichanganye watu.....

    ReplyDelete
  2. Hawakosi ila ni Tz imezoeleka kupika historia za uongo na ndio tunazosomeshwa mashuleni, na hili la miaka 50 ya uhuru wa Tanzania ndio linaelekea hukohuko kwa vizazi vijavyo. 'masikini vizazi vijavyo nawahurumia sana'

    ReplyDelete
  3. napenda kuuliza maana ya uhuru na maendeleo haya maendeleo ni mijini pekee au nchi nzima maana hadi leo hii miaka 50 umri wa mwanadamu tena anaitwa mtu mzima lakini kwa nchi yetu cvyo kwani mpaka leo kuna watu vijijini hawajui kama na wao wanastahili kupta umeme ua huduma yeyote muhimu hiyvo ni luxury za mjini .aomba serkali ifikirie hilo badala ya kutumia pesa nyingi kwa ajili ya sherehe wakati kuna mtu akiamka hajui atakula nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...