WACHEZAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki kombela Mataifa ya Afrika yanayotarajia kufanyika mwakani kati ya Gabon na Equatorial Guinea , mchezo wanaojiandaa nao ni dhidi ya Morocco utakaochezwa Oktoba 9 mjini Marakech. Stars iko katika mazoezi yanayoendelea kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka Oktoba 6 kuelekea Morocco.
Athumani Machupa akipambana na Henry Joseph Mazoezini
Mbwana Samatta akikontrooo ndinga mbele ya mwenzie.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Inamaana benchi zima la ufundi halifahamu kama viatu walivyo vaa hawa jamaa ni vya nyasi na uwanja ni kapeti????
ReplyDelete