Kijana Ismail akiimba kwa hisia akisaidiwa na mkongwe sajini mstaafu wa polisi mzee Kassim Mapili na bendi ya Mjomba kwenye burudani ya maonesho ya wadau katika kuadhimisha siku ya Posta Duniani yanayoendelea kwenye viwanja vya Mlimani City jijini Dar es salaam ikiwa pia ni kuadhimisha maadhimisho ya miaka 50 wa Uhuru wa Tanzania Bara
 Mkurugenzi Mkuu wa Gateway Global Freight Company Ltd. Bw Juma Mabakila (mwenye suti) akiwa na wafanyuakazi wa kmpuni hiyo kwenye maonesho ya kuadhimisha wiki ya Posta Duniani viwanja vya Mlimani City jijini Dar es salaam
 Wadau wa DHL nao wapo maoneshoni
 City Deliveries ndani ya nyumba
 Wenyeji Shirika la Posta hawako nyuma
Wadau wa TNT nao pia wapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...