Waziri wa Maji Profesa Mark Mwandosya akiwa mwenye furaha baada ya kutembelewa na wanahabari kutoka Tanzania walioko India kikazi. Shoto ni Bw. Mike Mande wa gazeti la East African na Bw Gabriel Nderumaki Mhariri wa habari za biashara wa gazeti la Daily News ( wa pili kulia) na kiongozi wa hospitali ya Apollo alikolazwa Prof Mwandosya baada ya kufanyiwa upasuaji wiki kadhaa zilizopita.
Home
Unlabelled
wanahabari wamtembelea profesa Mwandosya hospitalini India
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...