Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia katika Sherehe za miaka 50 ya Shirika la Misaada la Kimataifa la Marekani (USAID) zilizofanyika kwenye Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mjini Morogoro Oktoka 27,2011.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la Kimataifa la Marekani (USAID)) nchini, Bw. Robert Cunnane(kushoto) katika sherehe za mika 50 tangu kuanzishwa kwa Shirika hilo nchini zilizofanyika kwenye Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mjini Morogoro Oktoba 27,2011. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya SUA, AlNoor Kassum.(Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu.)
Miaka yetu tulikula buluga iliyoletwa na watu hawa. Kama sikosei ilikuwa inaitwa Quiker Oats. Duh, kumbe na mie nishazeeka...
ReplyDeleteBlackmpingo (soon in Dar)