Vijana wakazi wa mji wa Kibaha mkoani Pwani,wakishiriki katika kuchimba makaburi kumi na mbili yatakayotumika kuzika marehemu walio fariki kwa kuteketea kwa moto katika ajali ya basi la Deluxe iliyotokea juzi huko Kibaha.makaburi hayo yapo katika eneo ambalo walizikwa watu waliofariki katika ajali ya basi la AIR MSAE miaka kadhaa iliyopita.Picha na Chris Mfinanga.
Home
Unlabelled
UCHIMBAJI WA MAKABURI YA PAMOJA AJALI YA BUS KIBAHA WAENDELEA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...