Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stellah Manyanya, akipokea mfano wa Tshirt 2000 zenye thmani ya shillingi 28.4m/- kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii NMB Shy-Rose Bhanji ikiwa ni msaada wa benki hiyo kwa vikundi vya wana Rukwa na Katavi vitavoshiriki katika tamaasha la siku ya utamaduni wa mtanzania lililoandaliwa na wanarukwa na katavi. Tamasha hilo la siku tatu litafanyika Kijiji cha Makumbusho kilichopo Jijini DSM kuanzia kesho.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Jamii NMB Shy-Rose Bhanji, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya na sehemu ya wana Rukwa na Katavi wakishuhudia msaada uliotolewa na NMB.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii ni Safi kwa makampuni kutoa misaada mbalimbali kwa wanajamii na kujitangaza pia kwa biashara zao. Tuwapongeze NMB.
    Na makampuni mengine pia waige mifano kama hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...