Kuna familia moja ilivamiwa na majambazi,kabla ya kuiba hayo majambazi yakapanga kuwaua wote, ila kabla ya kuwaua majambazi hayo yaliamua kuwauliza majina yao kwanza.

Jambazi:we mwanamke unaitwa nani?
Mwanamke:   mimi naitwa elizabeth....
Jambazi: wewe umesalimika maana jina lako ni kama la mama yangu, ehee na wewe mwanaume unaitwa nani?.
Mwanaume:   mimi ninaitwa john ila kazini wananiita Elizabeth.

Frm JF

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii inachekesha ... lakinindiyo tumeachwa kwenye mataa kama alipona huyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...