Leo ni siku ya Kuzaliwa ya Mmoja wa wasisi wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya MAPACHA WATATU ,Josee Mara Mtoto wa Kimara, ambaye hii leo anatimiza miaka kadhaa ya maisha yake toka kuzaliwa kwake.

Globu ya Jamii na Team yake inaungana na wadau wote wa Jose Mara na wapenzi wa Mapacha Watatu kumtakia Kila la heri katika mwaka wake mpya anaouanza hii leo. Mungu amjalie Hekima na Busara kila siku, awe kiongozi mwema wa familia na akawe mfano mwema katika jamii ya Watanzania na dunia kwa ujumla. 

Happy Birthday!! Josee Mara

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Lawrence Gideon CheyoNovember 02, 2011

    happy birthday bro

    ReplyDelete
  2. Kijana una sauti nzuri sana ila tafadhali achana na lafudhi ya kilingala kwani kiswahili ni lugha kubwa shinda kilingala na kilingala hakijulikani duniani kama kiswahili. Jivunie lugha yako. Mapacha mko juu!

    ReplyDelete
  3. sasa kwani hujui huyu ni mkongomani aliyezaliwa bongo? uko ndani ya damu sio kuiga

    ReplyDelete
  4. Jose Mara si Mcongo ni Mbongo halisi, ila wengi wanadhani ni mcongo lakini si kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...