Kuna familia moja ilivamiwa na majambazi,kabla ya kuiba hayo majambazi yakapanga kuwaua wote, ila kabla ya kuwaua majambazi hayo yaliamua kuwauliza majina yao kwanza.
Jambazi:we mwanamke unaitwa nani?
Mwanamke: mimi naitwa elizabeth....
Jambazi: wewe umesalimika maana jina lako ni kama la mama yangu, ehee na wewe mwanaume unaitwa nani?.
Mwanaume: mimi ninaitwa john ila kazini wananiita Elizabeth.
Hii inachekesha ... lakinindiyo tumeachwa kwenye mataa kama alipona huyo.
ReplyDelete