
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na mgeni wake Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles,mara baada ya kuwasili Ikulu Mjini Zanzibar,akifuatana na Mkewe Camilla, Duchess of Cornwall.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akimkabidhi zawadi Mke wa Prince Charles, Camilla Duchess of Cornwall la baada ya mazungumzo huko Ikulu Mjini Zanzibar leo.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akipeana mikono na Mke wa Prince Charles Camilla Duchess of Cornwall kama ishara ya kumkaribisha huko Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,na mgeni wake Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles,wakiingia katika ukumbi wa mikutano pamoja na Ujumbe aliofuatana nao ,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akimkaribisha mgeni wake Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles,na Mkewe Camela,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akiutana na mgeni wake Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles,akiwa na Mkewe Camilla Duchess of Cornwall walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
PICHA NA RAMADHAN OTHMAN IKULU.
PICHA NA RAMADHAN OTHMAN IKULU.
Yaani Shein utafikiri yeye ndio anakaribishwa!!! LOL
ReplyDelete