Hatimaye mawasliano ya barabara kati ya Arusha na Karatu yamerejea kama mwanzo baada ya barabara hiyo kushindikana kupitika kutokana na mvua kubwa iliyonyesha na kusababisa kufurika kwa mto kirurumo ambao ulimwaga maji mengi hivyo kusukuma mawe na magogo na kupelekea kuziba barabara pamoja na kusababisha mtu mmoja kupoteza maisha.hivi sasa magari yanapita ng'ambo na watembea kwa miguu pamoja nawatalii ambao walikuwa wakienda katika hifadhi ya ngorongoro.Picha na Chris Mfinanga.
Baadhi ya Mifugo ikipita upande mmoja wa barabara huku upande mwingine ukiwa umesheheni mawe.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...