Leo ni siku ya Kuzaliwa ya Mmoja wa wasisi wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya MAPACHA WATATU ,Josee Mara Mtoto wa Kimara, ambaye hii leo anatimiza miaka kadhaa ya maisha yake toka kuzaliwa kwake.
Globu ya Jamii na Team yake inaungana na wadau wote wa Jose Mara na wapenzi wa Mapacha Watatu kumtakia Kila la heri katika mwaka wake mpya anaouanza hii leo. Mungu amjalie Hekima na Busara kila siku, awe kiongozi mwema wa familia na akawe mfano mwema katika jamii ya Watanzania na dunia kwa ujumla.
Happy Birthday!! Josee Mara
happy birthday bro
ReplyDeleteKijana una sauti nzuri sana ila tafadhali achana na lafudhi ya kilingala kwani kiswahili ni lugha kubwa shinda kilingala na kilingala hakijulikani duniani kama kiswahili. Jivunie lugha yako. Mapacha mko juu!
ReplyDeletesasa kwani hujui huyu ni mkongomani aliyezaliwa bongo? uko ndani ya damu sio kuiga
ReplyDeleteJose Mara si Mcongo ni Mbongo halisi, ila wengi wanadhani ni mcongo lakini si kweli.
ReplyDelete