Mwenyekiti wa secritariat ya mpango wa uhamasishaji uwazi katika mapato ya madini,gesi asili na petroli,Jaji Mark Bomani akifungua warsha ya vyama vya kijamii juu ya kubaini maeneo ya kusaidiwa na bank ya dunia ili kuwezesha ushiriki wao katika mpango wa kuhamasisha uwazi katika tasnia ya uzinduaji iliyofanyika jijini Dar es Salaam.kushoto kwake ni bibi Kattie Heller kutoka ofisi ya bank ya dunia tanzania. na Christopher sheldon kutoka bank ya dunia washington dc
Prof. Baregu akibadilishana mawazo na wadau Benedict (kushoto) na Abdul (katikati) mara baada ya kumalizika kwa warsha ya vyama vya kijamii juu ya kubaini maeneo ya kusaidiwa na bank ya dunia ili kuwezesha ushiriki wao katika mpango wa kuhamasisha uwazi katika tasnia ya uzinduaji
picha ya pamoja.
picha na Chriss Mfinanga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...