VERONICA BUNG'ANDO
1956---2010
ILIKUWA SIKU,MWEZI, MIEZI HATIMAE MWAKA UMETIMIA LEO TAREHE 02.11.2011
UNATIMIZA MWAKA TANGU ULIPOITWA NA MWENYEZI MUNGU KWA KWELI HATUACHI KUKUMBUKA HATA SIKU MOJA, TUNASIKIA UCHUNGU LAKINI TUNAFARIJIKA TUNAPOTUMAINI UPO PAMOJA NA WATAKATIFU WA MBINGUNI!
DAIMA UNAKUMBUKWA NA WATOTO WAKO BUNG'ANDO, VALENTINA(SELE), ANNASTAZIA(NTINI), MARIA(SHITA) NA RAYMOND.
PIA UNAKUMBUKWA NA WAKWE ZAKO, NA NDUGU ZAKO WOTE.
MISA YA KUMBUKUMBU KWA MAREHEMU WOTE ITAFANYIKA KATIKA KANISA LA MAMA WA HURUMA PAROKIA YA SHINYANGA JUMATANO TAREHE 02.11.2011 SAA 10 JIONI.
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA, NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI... AMINA!
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...