Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hata mimi napenda sana bendera ya Taifa (Tanzania), nimeamua kuiweka nyumbani kwangu kama sehemu ya kuonesha uzalendo wangu kwa nchi.

    Hata hivyo wale wote ambao tunasema tuna uzalendo na nchi tunatakiwa kuonesha uzalendo huo kwa vitendo. Mfano mambo ya ufisadi ambayo yanaonekana kuwa sehemu ya wanasiasa na hata wasio wanasiasa, yanatakiwa yasiwepo kwa mtu mwenye uzalendo.

    Pia mwenye uzalendo anatakiwa kutoa taarifa ya jambo lolote linalofanywa na mtu asiyeitakia mema nchi au watu wake.n.k.

    Sasa je, sisi wenye uzalendo na Tanzania tunao uzalendo wa kweli?

    ReplyDelete
  2. wana-mazengo mnamkumbuka mwigulu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...