Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
KP unaona mbali kaka...usichoke mpaka akubali yaliyojiri...
ReplyDeleteHuyo jamaa hapo juu maskini anatia huruma....kukubali kwake kirahisi kukalishwa hapo juu muda wowote ANAKULA MWELEKA WA KIFO CHA MENDE MIGUU JUU!...hii picha inadhihirisha hizi ndio sera mbovu zisizo na tija kwa Taifa la TANZANIA ktk sekta ya Madini na Migodi!...mwekezazji anakula 80% na sisi tunakula 20%,hivi anaesaini mkataba huu angekuwa mradi ni wake binafsi angekubali alipwe 20%??? , masuala ya uchimbaji madini ya URANIUM ili kuzalisha Nyuklia yanajadiliwa na watu wasiozidi 100 ktk nchi ya watu 45 Milioni!
ReplyDeleteHivi wewe mdau ndio maana kuna wataalamu watanzania wote watajadili Uranium ikiwa hawana hata ufahamu wa hiyo Uranium yenyewe? Kingine asilimia hivi wewe haujaweka msingi wowote katika biashara unaweza ukagawana naye sawa mwenyebiashara? Jaribuni kufikiria kabla ya kuongea. Nawasilisha
ReplyDeleteWewe Anonymous wa Thu Nov 17,04:18:00 PM 2011
ReplyDeleteMaoni yako ni yale yale ya ZIDUMU FIKRA SAHIHI,
1.Ninachomaanisha sio kama unavyofikiri wewe...Sio wale walio ktk kikao ndio peke yao wanaijua URANIUM bali wapo na wengine wenye kuijua zaidi ya hao isipokuwa hawakushirikishwa katika kikao kutokana na utamaduni wa kuegemea ktk maslahi ya kikao tu(yaani posho na masurufu, chai ya Kilimanjaro Hotel na kugawana contacts baada ya kikao halafu hakuna kinacho tekelezwa) WATU WANAALIKANA KWA KUJUANA TU. Pia TAARIFA ZA MKUTANO HUU WAMEZIKALIA NA KUTOA TANGAZO SIKU MOJA KABLA ...MAANA YAKE NI KUWA WAO WANAJIFANYA WANAJUA ZAIDI YA WENGINE.
2.KUHUSU ASILIMIA % HAKUNA NCHI KTK DUNIA INAWEZA KUWA NA RESOURCES NA KUMWITA INVESTOR KWA ''EXPLOITING RATE'' KAMA HIYO ,,,HII IMEMNGÓA KUTOKA KTK UCHAGUZI RAISI ALIYEPITA WA ZAMBIA RUPIAH BANDA KWA KUWAPA BONUS WA CHINA KTK MIKATABA... INAONYESHA WEWE HUNA UELEWA KUHUSU (PSA) -Project Sharing Agreement: AT LEAST WANGETOA ANGALAU 50% BY 50% ....Mpango wa KIWIRA 80% BY 20% ,,,,,NCHI ZINGINE DUNIANI HAZIFANYI MIKATABA YA MASLAHI MIBOVU NA YA KUJIRAHISI KAMA SISI TANZANIA!!!!
WEWEEEE ..
ReplyDelete1.KUNA WATU WANAIJUA SANA URANIUM ZAIDI YA HAO WALIOKAA KIKAO KILIMANJARO HOTEL...LAKINI HAWAKUSHIRIKISHWA , WAMEUFANYA MPANGO NI KAMA WA MAFAO FULANI HIVI NA WA KICHOYO,,,SI UNAJUA TANZANIA BANA HATA VIKAO NA SEMINA NI DILI ZA WATU KUPATA PESA?...ANGALIA WAMEZIKALIA HABARI MPAKA WANATANGAZA SIKU MOJA KABLA YA KIKAO!!!
2.HAKUNA NCHI KTK DUNIA INAWEZA TOA % KUBWA KWA MWEKEZAJI KAMA INAVYOFANYA TZ...INAONYESHA HUJUI (PSA)-PROJECT SHARING AGREEMENTS..TENA NCHI ZINGINE WANAKULA % KUBWA MWEKEZAJI ANAPATA CHINI TU!
wewe unayesema eti watu hawaelewi uranium na watanzania wanastahili kupata percent ndogo kutoka madini yao nadhani wewe ni fisadi. jamaa na wenye kusaini mikataba mibovu au unalipwa na wawekezaji.
ReplyDeleteWAJINGA NDIYO WALIWAO.
ReplyDeleteAnonymous wa Fri Nov 18:06:47:00 AM ....Mdau nakuunga mkono kwa kumweleza Anonymous wa PILI kutoka juu kuwa yeye ni kizazi cha MAFISADI anayetaka Tanzania tulipwe % ndogo na WATU HAWAFAHAMU URANIUM!!!!....
ReplyDeletePANA MAMBO MUHIMU KUHUSU KIKAO HICHO CHA MAENDELEO YA URANIUM KILICHOFANYIKA KILIMANJARO HOTEL JANA 17/NOV/2011 KWA KICHOYO..MAMBO HAYO NI HAYA CHINI?:
1.KWANZA KIKAO CHA MAENDELEO YA UCHIMBAJI URANIUM KINAKUSUDIA ZAIDI KWA WALE WASIO IFAHAMU URANIUM NA NYULKIA ZAIDI YA HAO MA ENGINEER NA POLICY MAKERS.
2.KIKAO KINAWAHUSU ZAIDI WATU WA KAWAIDA NA WALE WANAOISHI KTK MAENEO AMBAYO MIRADI HIYO ITAFANYIKA, KWA VILE FAIDA NA MADHARA YA MIRADI HIYO INAWAAKISI ZAIDI WAO MOJA KWA MOJA.
3.KUNA ZAIDI YA UHANDISI NA POLICY/SERA KTK TASNIA YA NYUKLIA ...VITU KAMA , DEMOKRASIA,DIPLOMASIA, SHERIA,AFYA NA TAHADHARI ,MAZINGIRA, EUELEWA NA MAFUNZO YA DHARURA,KUNUFAIKA NA MIRADI NA KUPATA % ya mgao wa maslahi ya kutosha PIA MANAGEMENT (UENDESHAJI)
4.WATU WANAO AKISIWA KWA KARIBU NA MIRADI HIYO WAKAZI WA MAENEO HAYO WANATAKIWA WAPEWE UFAHAMU WA NYUKLIA ,ELIMU YA TAHADHARI NA PIA WAPEWE KINGA, HILO NI JUKUMU INATAKIWA WAWEKEZAJI WABEBESHWE MSALABA HUO.
5.NYUKLIA INA PUBLIC OBLIGATION NA PUBLIC CHARGE, INAWAHUSU WATU NA KUNA KUWAJIBIKA (MFANO JAPAN PANA MEYA WA MJI ALIWAHAKIKISHIA WATU WA ENEO LILILOPATA MADHARA YA NYUKLIA KUWA LIPO SALAMA NA MAJI YAKE NI SALAMA ...WAKAZI WALITAKA MEYA ANYWE MAJI HAYO KUTHIBITISHA MANENO YAKE, AKASITA)
6.TUSIAMINI SANA WATU KAMA (TAEC) MAMLAKA YA SERIKALI KUHUSU NYUKLIA NA ATOMIKI AMBAYO OFISI MAKAO MAKUU IPO ARUSHA NA HAO NDIO KWA KUSHIRIKIANA NA HAO WAWEKEZAJI WAMEKALIA TAARIFA ZA KIKAO ILI KUKWEPA CHALLENGE ZA WANAHARAKATI, PANA NCHI ZINGINE WATU WA NYUKLIA NA ATOMIKI WAKIKAA INAKUWA SHUGHULI PEVU, SIO KIKAO CHA KUNYWA CHAI,KUPATA FURSA YA KUFAHAMIANA, KUPEANA CONTACTS BAADA YA KIKAO NA KUPEWA MAFAO...INAKUWA NI KIKAO CHA WATU KUKABWA MAKOO NA KUPIGWA PINI KTK MAKUBALIANO NA MIKAKATI.
7.KULINGANA NA TASNIA HII ILIVYO NYETI NA SHERIA KALI, MAKAMPUNI KAMA HAO WAWEEKZAJI MATRA NA URANEX HUWA WANAOGOPA SANA WANA HARAKATI WA MASUALA HAYO YA NYUKLIA NA ATOMIKI KUFUATILIWA HIVYO HUWEZA KUTUMIA ZAIDI RUSHWA NA KUHARAKISHA MAMBO (Mfano kutangaza muda mfupi kabla ya kikao kificha habari za kikao ili kuwanyima watu fursa kushiriki)ILI KUFIKIA MALENGO KWA NJIA ZA MKATO...HUKU (IAEA)SHIRIKISHO LA KIMATAIFA LA NYUKLIA NA ATOMIKI LIKITAKA TARATIBU KAMILI ZIFUATWE.
Kulingana na kanuni za PSA-Project Sharing Agreements...dunia nzima inajua kuwa mwenye ''Mother Nature'' yaani mahala ambapo rasilimali inapatikana ndie anaestahili kupata ''Lion's share'' (mgao mkubwa)...mfano arhdi yenye madini ni ya Tanzania hivyo Tanzania ndio ipate % kubwa mfano kuanzia 51% (Tanzania) by 49%(Mwekezaji) na kuendelea...HII ndio Tanzania bana maamuzi haya mengi yanafanywa na wanasiasa walio MAFISADI na sio wachumi.
ReplyDeleteWote mliochangia inaonyesha ni jinsi gani hamna uelewa wa mambo ya madini bali mnasikia tu maneno. hoja yangu ni kwamba serikali ya Tanzania haina share yoyote kwenye migodi je unategemea utapata asilimia 50 ebu kuweni na akili japo ndogo tu yakufikiria. Serikali ya Zambia wao wanashare kwenye makampuni ya migodi ndio maana wanaweza wakapata asilimia kubwa.
ReplyDeleteHivi wenye ufahamu wa uraniuma Tanzania ni wangapi? uwa ufahamu wenu wakujua inatengeneza nyuklia ndio mnaona ufahamu? acheni mambo msiyoyajua mnakurupuka hivyo vyuo vinavyotoa kozi ya uranium duniani vipo vichache sana. hayo madini yaliyokuwa yanajulikana Tanzania muda mrefu tu asili,ia kubwa hawajui yanapatikana vipi? nyie ndio mnaofikiria ukichimba tu unapata dhahabu.
Kuhusu posho kikao akijakuwa na posho yoyote. Msipige kelele mkiwa nje ya nchi rudini Tanzania ndio tujenge nchi nasi kulalamika mkiwa nchi za watu.
Wewe Anonymous Fri Nov 18, 12:34:00PM 2011
ReplyDelete1.Mdau mtetea UFISADI ndio ninyi mpo ARUSHA makao ya TAEC (Mamlaka ya Serikali ya Atomiki) na mlioshirikishwa ktk kikao kiuchoyo.....Wewe ni Mwanasiasa na mambo ya Biashara na madini hujui kulingana na maono yako!
2.Ndio ninyi mpo ktk payroll ya hao wawekezaji MANTRA na URANEX na mmeshapokea rushwa na mnawabeba jamaa ili wafikie malengo kirahisi bila kufuata kanuni za IAEA
3.Elewa kuwa tasnia ya NUCLEAR na ATOMIC ina kuwajibishana hasa mambo yanapoharibika, mfano Meya wa Japan aliye alisema maji yapo salama hayana madhara ya nyuklia aka amriwa na wananchi wa eneo hilo anywe maji hayo,,,ili kuthibitisha usalama wa maji hayo kama anavyodai.
4.Usiangalie sana MASLAHI na RUSHWA ,elewa kuna WAKATI MAMBO YANAGEUKA NA PANAKUWA HAPATOSHI KWA PRACTITIONERS (ENGINEERS) NA POLICY MAKERS WALIOSHIRIKI endapo mambo yataenda mrama...Nuclear sio sawa na Siasa za Tanzania au Africa ambapo hakuna kuwajibishana!!!!
5.Huku Ughaibuni watu kama hao wa uwekezaji na miradi ya Nyuklia na Atomiki wakikaa ktk vikao huwa wanabanwa vilivyo na WANAHARAKATI WA MASUALA HAYO YA NYUKLIA NA ATOMIKI kuhakikisha kuwa miradi yao inatoa tija % ya MGAO ya kutosha na watu wanapata kinga kama madhara yatatokea.
6.Hatuwezi kurudi NYUMBANI Tanzania na kushurikiana na mtu kama wewe unaetetea UFISADI na MPINGA MAENDELEO YA MWANANCHI WA TANZANIA.
Wadhamini wa SEMINA YA MAENDELEO YA UCHIMBAJI WA URANIUM ni MANTRA na URANEX!
ReplyDeleteSasa hapo kesi ya mbuzi anapewa hakimu CHUI atatoka mtu hapo?
Huyo anaedai wachangiaji hawana uelewa wa madini HAO NDIO WALE WALE WANAOTUTOA DAMU KILA KUKICHA!
Nchi zingine hazijirahisi kama sisi ktk kutoa % ya mgao wa biashara subiri usikie UGANDA , KAMA WATATOA MAFUTA YAO KWA MIKATABA YA BURE BURE KWA WAWEKEZAJI.........EBO!
SERIKALI kutokuwa na SHARE ktk uwekezaji kama wa madini ni mipango ya MAFISADI wachache ili waweze kutoa % kubwa kwa mwekezaji ili nao wapate cha juu...kwani hatujui?
ReplyDeleteItakuwaje umwite mwekezaji halafu Usichukue SHARE ktk uwekezaji huo?
Hata kama mamlaka haina mtaji, tunayo masoko ya mtaji CMSA na masoko ya hisa DSE kwa nini mpango usiandaliwe ku rise hiyo capital share?...hata kwa kuwaalika individual Tanzanian citizens?
Hebu fikiria ile 80% ya KIWIRA aliyopewa MCHINA na sisi tukala 20% unafikiri pale ktk 80% yote atakula MCHINA jamaa wana cha juu pale?
Wewe mdau Anonymous wa Fri Nov 18, 12:34:00 PM
ReplyDeleteMdau unayedai wachangiaji wengine hawajui madini na unaetetea UFISADI na kusema Watanzania walipwe % kidogo na mwekezaji ale % nyingi kwa vile HATUNA SHARES ktk uwekezaji.
TUNAJUA KUWA RAISI WETU JK ANAHUJUMIWA NA JAMAA ZAKE WACHACHE WA KARIBU ALIOWAAMINI NA KUWAPA MAMLAKA.
KTK HAO WAHUJUMU MMOJA WAPO NI WEWE NA UNAOSHIRIKIANA NAO KUTOKANA NA MAONI YAKO INAONEKANA UPO KTK MTANDAO HUO.
Kwani kuwa na SHARE KTK UWEKEZAJI NI SUALA GUMU? ,umeshaelezwa na wachangiaji hapo juu kuwa SHARE CAPITAL ktk uwekezaji huo inaweza kutoka kwetu wananchi kupitia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji (CMSA) na Soko la Hisa la Dar (DSE).
Haiingii akilini umwite mwekezaji halafu ushindwe kutafuta Share ili kuchangia uwekezaji.
KWA SUALA LA UCHIMBAJI WA URANIUM ,madini haya yana UPANDE WA KUINGIZA MABILIONI YA $ NA UPANDE WA PILI WA MAAFA NA MAJANGA kwa watu na mazingira KAMA YATATOKEA Mfano, Athari za ulemavu wa kudumu na za kiafya,,,,,JE KWA HIYO % ya chini unayotaka Tanzania ipate kwa vile haina share ktk uwekezaji, italipa kwa gharama ya MAAFA YATAKAYOTOKEA?
Kwako unayedai wachangiaji wengine humu hawajui mambo ya madini na unayetaka Tanzania ipate mgao wa faida wa chini kwa vile haina share ktk uwekezaji,....hivi kama mradi ungekuwa ni wako wewe binafsi ungekubali upewe 20% na mwenzako apate 80%?.....Ninyi ndio wale wale wa KUMUUZIA MKABURU KUPELEKA AFRIKA KUSINI, MKABURU KUNUNUA HAPA KARAI MOJA LA MCHANGA WA MADINI USIOCHEKECHWA KWA BEI YA TSH. 1/=....EBO!
ReplyDelete