Baba yetu mpendwa Festusi Wambura Kichere (pichani), sasa ni miaka 26 tangu ututoke mwaka 1985 na kutangulia mbele ya haki, ukituacha katika majonzi tele.
Unakumbukwa sana na familia yako yote: Mama yetu mpendwa, PERUSI WAMBURA, pamoja na wanao KESI, KICHERE, WAMBURA, MARWA na LUCY.
Tulikupenda sana baba yetu, lakini Mwenyezi Mungu Muumba wa vyote alikupenda zaidi. Nasi tunamuomba aendelee kukupa pumziko la milele na lenye amani tele.
Tutaendelea kufuata wosia wako kwetu kuwa tupendane na
tuwe na umoja ili tuwe na heshima mbele ya jamii yote.
Bwana Alitoa, Bwana alitwaa.
Jina lake Litukuzwe milele
Amina
Kichere W. Kichere Jr.
Poleni sana.
ReplyDeleteTupo pamoja, A.M.Kichere
ReplyDelete