Wadau wakubwa wa Globu ya Jamii na wafanyabiashar ya zao la Shayiri Bw. Adam Mbogoro (kushoto) naBw. Nicholaus Simango baada ya kula nondozzzz zao za Social work (Adam) na Nico (utalii) katika mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania wikiendi hii yaliyofanyika Bungo, Kibaha, mkoa wa Pwani ambapo Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Mh Mohamed Ghalib Bilali.
Home
Unlabelled
wadau wa globu ya jamii wala nondozzzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...