Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad  akielekea kupanda Boti la Mv Kilimanjaro, kwenye Bandari ya Dar es Salaam, tayari kwa safari ya kwenda Zanzibar.
MaalimSeif akiwa ndani ya Boti hiyo ya kisasa iliyozinduliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar, Dk ali Mohamed Shein.
Maalim Seif akisalimiana na manahodha wa meli hiyoMwandishi wa habari wa Radio Uhuru FM, Mwajuma Kitambulio akipita eneo maalumu la abiria kusubiria kupanda boti za Kampuni ya Azam Marine iliyojengwa na kampuni hiyo katika Bandari ya Dar es Salaam.
Chumba kingine maalumu cha abiria kusubiria kupanda Boti za Kampuni ya Azam Marine kilichopo katika Bandari ya Dar es Salaam, ambapo abiria hufaidika kwa kupata vinywaji bure. (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. vitu vyote hivi vimefanywa na mtu binafsi wakati kuna watu wanakuna vitambi tu na kupanda mavx na hatujui kuanzia saa 2 mpaka 11 jioni wanafanya nini cha maana.

    ReplyDelete
  2. hilo nalo neno, maana wamecnzia hasaa.mi nadhani wampunguzie kodi huyo jamaa vinginevyo wamuuzie kabisa bandari ajue tu ni yale aishughulikie kikamilifu...na naamini wakifanya hivyo atafanya maajabu kwa kuweka vi2 vya uhakika zaidi...bakhresa kweli ni mfanya biashara wa kimataifa...anakubalika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...