Home
Unlabelled
MAMBO YA NATHAN MPANGALA A.K.A KIJAST BIKOZZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Umesema ukweli Mpangala. Mimi kama mwanaharakati huwa nasoma ripoti za Human Rights Watch na Amnesty International. Kwa mujibu wa ripoti za mwisho za AI na HRW, mauaji ya wapinzani wa NTC (serikali "mpya" ya Libya/NATO) yameongezeka na kundi linalowindwa zaidi na NTC ni weusi wenzetu. AI na HRW zimeripoti kuwa wafanyakazi Waafrika wanaorudi makwao (hasa West Afrika) wananyang'anywa pesa na mali zao zote na kumekuwa na allegations za wanawake wa Chad, Niger, Ghana na Nigeria kubakwa na maaskari wa NTC. Cha kusikitisha ni kuwa "wakubwa" (yaani NATO) wamekaa kimya kabisa huo wakianza kukokotoa kati ya EU na USA nani watapata mikataba minono ya mafuta na reconstruction (kujenga upya miundombinu iliyoteketezwa na mabomu ya NATO). Njia ya mwongo na mnafiki ni fupi.
ReplyDeleteliers uk,france,usa,eti democracy!? khaa ya mtutu!? wake up people.
ReplyDelete