Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji EPZ, Lamau Mpolo (aliekaa), akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Singapore, LEE YI SHYAN, (aliesimama) wakati akielezea kusudi la ugeni wao kwa Mamlaka ya Uwekezaji EPZ.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya EPZ, Lamau Mpolo (aliesimama), akitoa mada kuhusiana na utendaji kazi wa Mamlaka ya EPZ na fursa zilizopo kwa wawekezaji kuja kuwekeza kupitia Mamlaka hiyo.
Msafara wa wawekezaji kutoka Singapore wakiwa na Waziri wao wa Viwanda na Biashara,wakiwa kwenye mkutano na viongozi wa mamlaka ya Uwekezaji EPZ,pindi walipotemnbelea mamlaka hiyo.
Wawekezaji wa Singapore wakiwa wanatembelea Eneo la Mamlaka ya Uwekezaji EPZ, na kushuhudia vivutio mbalimbali pamoja na viwanda vilivyopo humo ndani.
Msafara wa Wawekezaji wakiwa na Waziri wao wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mamlaka ya Uwekezaji EPZ,mara baada ya kutembelea mamlaka hiyo.
WAJA CHUKUA MAKAZI YA WATANZANIA ,NA WATANZANIA KUFUKUZWA KAMA MBWA.
ReplyDeleteKeep it up Lamau! am glad kwamba Mzumbe has leaders in a number of leading sectors in Tanzania ... Viva IDM -MZUMBE...
ReplyDelete