Globu ya Jamii imetembelea mkoa wa Tanga na kukutana na mandhari mwanana pamoja na mkeka wa nguvu kama inavyoonekana sehemu hii ya Handeni
 Hapa unakaribia Mombo
 Maji yakitiririka kutoka milima ya Usambara unapokaribia Soni
Mabango asilia ya miamba inaremba njia nzima kuelekea Lushoto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Wallah sijaamini kamma Tanga ni kuzuri hivo . madau toka bujumbura

    ReplyDelete
  2. Globu ya Jamii na Mwana Libeneke uliyetembelea Tanga,,,,uoto wa asili wa kijani, uwanda wa kupendeza, maji yakitiririka, hewa nzuri ikielea.... Hongera sana kwa kazi adhiim ya kuifichua siri ya nchi nzuri iliyofichika!

    ReplyDelete
  3. Jamani ni blogu (blog) ya jamii na sio globu ya jamii......

    ReplyDelete
  4. Mdau hapo juu, Tanga ni kuzuri sana. Hizo picha za chini ni wilayani Lushoto hapo, ni pazuri sana kwa utalii wa ndani.
    Nimepamisi sana, Irente, Bumbuli, Mtae etc.

    ReplyDelete
  5. Usiishie hapo Lushoto endelea mbele kwenye vijiji vingine kama lukozi,shume,malindi, Sunga mpaka Mtae hapa unauona mlima kilimanjaro asubuhi kama hakuna ukungu tembeeni mjionee uzuri wa Tanga wilaya ya Lushoto, watalii ni wengi kipindi cha baridi.Tembelea www.mamboviewpoint.org kuna mzungu mmojakajenga hotel ya kitalii.

    ReplyDelete
  6. yaani imeshinda ujerumani yenyewe iliotawala

    ReplyDelete
  7. sasa ndio hapoo, wabongo karibu asilimia kubwa hawakai mikoani kwao au hawapendi kukaa vijijni wote wanataka wakajazane dar, mjini utasikia tutabanaa hapa hapa, wakati Tanzania yao ni kubwa na nzuri

    ReplyDelete
  8. sasa ndio hapoo, wabongo karibu asilimia kubwa hawakai mikoani kwao au hawapendi kukaa vijijni wote wanataka wakajazane dar, mjini utasikia tutabanaa hapa hapa, wakati Tanzania yao ni kubwa na nzuri

    ReplyDelete
  9. sasa ndio hapoo, wabongo karibu asilimia kubwa hawakai mikoani kwao au hawapendi kukaa vijijni wote wanataka wakajazane dar, mjini utasikia tutabanaa hapa hapa, wakati Tanzania yao ni kubwa na nzuri

    ReplyDelete
  10. sasa ndio hapoo, wabongo karibu asilimia kubwa hawakai mikoani kwao au hawapendi kukaa vijijni wote wanataka wakajazane dar, mjini utasikia tutabanaa hapa hapa, wakati Tanzania yao ni kubwa na nzuri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...