Mgeni rasmi katika mashindano ya Mbio za Mitumbwi yanayodhaminiwa na kinywaji cha Balimi Extra Lager,Makamu Mkurugenzi Manispaa Bukoba,Robert Kwella (wa tatu kushoto) akipuliza filimbi kuashiria ufunguzi wa mbio hizo zilizofanyia mjini Bukoka,Kagera hivi karibuni.
Mmoja wa washindi wa mashinzano ya mbio za Mitumbi yanayodhaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania kupitia kinywaji chake cha Balimi Extra Lager,Eliud Crosper akionyesha hela zake mara baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi,Makamu Mkurugenzi Manispaa Bukoba,Robert Kwella.
Mgeni rasmi katika mashindano ya Mitumbwi,Makamu Mkurugenzi Manispaa Bukoba,Robert Kwella akimkabidhi fedha mshindi wa pili wa mashindano hayo ya Mitumbwi,Thobias Kyaichumu.
Mgeni rasmi katika mashindano ya Mitumbwi,Makamu Mkurugenzi Manispaa Bukoba,Robert Kwella akimkabidhi fedha mshindi wa kwanza wa mbio za mitumbwi zilizofanyika mjini Bukoba hivi karibuni,Salome Ernest.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mwakola munoooo!!Mkitoka hapo mkapate Balimi ya baridi kule Kashai,Hamgembe,Nyakanyasi,Kyakailabwa,uswahilini,Rwamishenye,nakadhalika.Michuzi usiibane,haya maeneo yapo BK siyo maneno "mabaya".Ni katika kuchangamsha Blog tu

    David V

    ReplyDelete
  2. sasa mashindano ya mitumbwi mbona tunaona watu tu wanapewa zawadi hata hiyo mitumbwi walivyokuwa wakishindana hatuioni??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...