Wajumbe wa NEC Mh Nimrod Mkono, Mh Asha Baraka na Mh Edward Lowassa wakiongea kwa furaha kabla kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza mjini Dodoma.
NAPE NNAUYE, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM akiongea na wanahabari Makao makuu ya chama hicho Dodoma. Katika kusisitiza dhana ya kujivua gamba Nape ameweka bayana sio mtu ama watu bali ni mabadiliko ya kwenda na wakati ikiwa ni pamoja na kutumia teknolojia ya kisasa kama anavyoonekana
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...