MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI CHIKU GALLAWA AKIFUNGUA KIKAO CHA BODI YA BARABARA MKOA WA TANGA
KAIMU MENEJA WA WAKALA WA BARABARA MKOA WA TANGA TANROADS INJINIA ALFRED NDUMBALO AKIWASILISHA TAARIFA YA UFANYAJI KAZI WA WAKALA HIYO KATIKA KIKAO CHA BODI YA BARABARA.
BAADHI YA WAJUMBE WA KIKAO CHA BODI YA BARABARA KUTOKA WILAYA YA KOROGWE WAKIONGOZWA NA DC WAKE BW. ERSTO SIMA (KATIKATI) WAKISIKILIZA KWA MAKINI UWASILISHAJI WA MADA MBALIMBALI KUHUSU BARABARA ZA MKOA WA TANGA.
BAADHI YA WAJUMBE KUTOKA WILAYA YA MUHEZA MBUNGE WA JIMBO LA MUHEZA BW. HERBERT MNTANGI (kulia) NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI HIYO BW. AMIR KIROBOTO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...