Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Mhe. January Makamba akiwa kwenya maandalizi ya kupanda helikopta tayari kwa safari ya kwenda kutembelea Ocean Rig,ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi katika sehemu hiyo.Katika ziara hii wadau mbalimbali wamempongeza Mhe. January Makamba nakuelezea kufarijika kwao na kutambua kuwa Tanzania inao viongozi imara na shupavu wanaoweza kuinua Uchumi wa nchi yetu.
Mhe. January Makamba akiwa pamoja na wadau wengine wakifuatilia kwa makini maelekezo yaliyokuwa yakitolewa.
Home
Unlabelled
mh. January Makamba atembelea Ocean Rig
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Uncle tupe habari kamili, hiyo ocean rig nini? na ziara inahusu nini? kwani wengine tunashindwa kuelewa ni kitu gani kinaendelea.
ReplyDeleteHata mimi was about to ask the same. Ocean rig ndo nini. Uncle jifunze kutoa habari kamili bana. Picha peke yake hazitoshi
ReplyDeleteOcean rig ni machimbo ya mafuta baharini lakini utueleze ilikuwa wapi?Tanzania?Ama inawezekana pia ikawa machimbo ya gesi!
ReplyDeleteat least Mheshimiwa havai makaunda suti. Anavaa ki western western. Yale makaunda suti ndio ishara ua ujamaa unaoendelea kutuweka pabaya.
ReplyDeletemdau sawakabisa hata mimi hapo hakuna nilicho elewa
ReplyDeleteHii ni rig ya kutafuta mafuta na gesi inayoendeshwa na kampuni ya Petrobras kutoka Brazil. Ipo kati kati ya bahari kutoka pwani ya Mtwara.
ReplyDeleteMie nilichoelewa hapo ni kwamba kasifiwa kama kiongozi shupavu. Hadi 2015 ifike, mbona tutakuwa tushajua nani ni nani.
ReplyDeleteKwahiyo ni kiongozi shupavu kwa sababu ametembelea Ocean Rig???!!!! Au.....
ReplyDelete