Mbunge wa Viti Maalum jimbo la Arusha Mjini (CCM),Mhe. Namelo Sokoine akiwasiliana na wanafamilia yake kwa njia ya simu huku akiwa kavalia mavazi ya jamii yao ya kimasai alizozawadiwa na waumini wa  Kanisa Katoliki lililopo kwenye kijiji cha Lolera Wilaya ya Kiteto,muda mfupi baada ya ibada kufanyika kanisani hapo.
Mbunge wa Viti Maalum jimbo la Arusha Mjini (CCM),Mhe. Namelo Sokoine akizungukwa na wakinamama wa jamii ya kimaasai na kusikiliza maelezo ya ujenzi wa kanisa.
Mbunge wa Viti Maalum jimbo la Arusha Mjini (CCM),Mhe. Namelo Sokoine akiongozana na Father Saning'o na baadhi ya wananchi wengi waliofulika kwenye eneo hilo,wakielekea kuingia kwenye ofisi za Kanisa Katoliki kijini hapo kwa ajili ya mgeni wao kusaini kitabu cha wageni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Safi sana dada..yaani umependeza sana na hao akina Mama.Kama Swaziland vile..

    David V

    ReplyDelete
  2. Jamani hilo jina mmekosea,
    anaitwa nameloku, means sweety'

    ReplyDelete
  3. Ameolewa? Kama bado tuwasiliane

    ReplyDelete
  4. Is she the daughter of the late Edward Moringe Sokoine??

    ReplyDelete
  5. Jamani, hivi mchungaji Mtikila yuko wapi? Mbona hatujamsikia kwenye swala la mchakato wa uanzishwaji wa katiba mpya? Au kahamia sisiemu?

    ReplyDelete
  6. Mhe. Dada Nameloku ajaribu kuwapa semina wasichana wa kisasa na Ki mjini kuuezni utamaduni wetu badala ya kuingia ktk utumwa wa mavazi ya Magharibi!

    ReplyDelete
  7. Wewe mtoa maoni wa 3 kutoka juu unaetaka kupewa mawasiliano kumfikia Nameloku Sokoine,,,,utaweza kumuuwa kwa mkuki siyo bunduki mnyama Simba? ....kwa Wamasai hilo ndio shariti namba moja kabla hata hujapeleka barua ya posa!

    ReplyDelete
  8. mara yangu ya kwanza kuona Padri Mmasai. Wenzetu hawa ni washika mila wakubwa na suala la wake wengi ni kati ya mila hizo. Hata marehemu Sokoine alikuwa na wake wawili pamoja na kwamba alikuwa mkatoliki safi.

    ReplyDelete
  9. We mdau unayeuliza kama ameolewa tafuta miwani. Yaani hujaliona hilo 'gurudumu' la nguvu kwenye kidole katika picha hiyo ya juu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...