DSC00947
Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC Bw. Suleiman Saleh katika picha ya pamoja na Mhe. Hunayna Al Mugheiry(kati), Balozi wa Omani nchini Marekani wakati wa hafla ya kusherehekea siku ya uhuru wa nchi hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Four Seasons, Washington DC Jumamosi ya November 19,2011 kushoto ni Bw. Seif Al Rawahy wa Ubalozi wa Oman.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...