Mh Sugu akisalimiana na mashabiki wake
 Mh Sugu akikamua
 Mashabiki wa sugu wakifurahia shoo
 Mashabiki wakipagawa

 Mh Sugu akichana mistari
Mbunge wa Ubungo Mh. John Mnyika anapanda jukwaaani kumpongeza Mr Sugu. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. anagalieni vidole vya mnyika halafu mseme hao CHADEMA sio freemasons. hiyo ndio alama rasmi ya freemasons na mnyika kawadhihirishia kuwa wao ndo wanachama wa freemasons...kazi kwetu watanzania hususan wenye kumhofia mungu...walioamua kujitoa muhanga haya lakini kwa wanaoiogopo hukumu ya mungu tuwe makini kwelikweli.

    ReplyDelete
  2. Mtoa maoni wa kwanza; mtawazushia meengi CHADEMA lakini kama Mungu amewaleta ili kuleta mabadiliko Tanzania, bado watapeta tu. Na hata uongozi wa nchi watapata tu. Tumwachie Mungu kwani wanayoyafanya hasa kuamsha watu usingizini ni mambo ambayo mwenye kuelewa lazima atawakubali.

    ReplyDelete
  3. haya mambo ya freemason naona tanzania ndio mnayajua sasa. kila kitu mtu anachofanya ni freemason, na global publishers nimeona picha ya pope anajitembelea na vidole vyake vimechakachuliwa na adobe photoshop wanasema naye hi free mason. jadilini mambo ya kimsingi ya jamii yenu acheni mijadala isiyokuwa ya msingi ya mambo ambayo nchi silizoendelea waliacha kuyafikiria kwenye 1900's. badala ya kifiniria wewe ni lini utakuwa kama malaysia ufafikiria huyu si freemason yule si freemason. hiyo itakusaidia nini wewe kimaendeleo kama si ufinyu wa mawazo?

    ReplyDelete
  4. Ndugu naona hapo umechemsha hivyo sio vidole vya mnyika huo ni mkono wa kushoto wa mtu mwingine, angalia vizuri picha ndio u comment

    ReplyDelete
  5. Huyu mtanzania mwenzetu wa kwanza kabisa aliyetangulia kutoa maoni hapo juu anatuthibitishia kuwa itachukuwa muda mrefu sana Tanzania kuendelea.

    ReplyDelete
  6. Acha maneno mingi.hapo mh sugu anaburudisha jamii kama msanii.mambo ya politicd vipo tena.nina uhakika hao ni wananchi wa iyikadi zote na si chadrma

    ReplyDelete
  7. Ukiiangalia kwa makini hii picha, utagundua kuwa vidole vinavyoonekana nyuma ya Mhe Sugu si vya Mhe Mnyika. Mkono wa Mnyika uko begani kwa Sugu. Kwa hivyo bado maoni ya mchangiaji aliyetangulia yanahitaji ushahidi zaidi.

    ReplyDelete
  8. We Annyoy wa hapo juu acha ulimbukeni.Hao freemason we unawajua au unakurupuka tu?

    ReplyDelete
  9. wewe ndugu yangu apo juu unamahanisha nini maisha haya ya siku hizi akuna mtu anayemchagulia mtoto wake mke wala bwana wa kumuoa kla mtu anafuata njia yke ukiwa na munga wew si vibaya apagani sawa mwenye kuamini maji sawa miti sawa mawe sawa nk siku ya mwisho kila mtu atajijua mwenyewe usijaribu kuwashawishi watu wakufuate au kukusikiliza

    ReplyDelete
  10. acha kuwarubuni watu wewe......kila kitu freemasons...yeye katoa ishara ya ukombozi au victory V unasema freemasons, Ukiishi kwa hii tabia ndugu yangu utaishia pabaya maana utakuwa unalalama tu kila siku...mara mnasema Papa nae kaonesha salamu ya freemasons....watanzania amkeni na mfanye kazi acheni ujeuri wa kuwaletea watu matatizo yasiyowahusu.

    ReplyDelete
  11. AM so touched na hizi picha za Sugu , kuna ukweli wa kizalendo zaidi ya Clouds show. BIg up SUGU

    ReplyDelete
  12. WE HAPO JUU ACHA UNAFIKI HUO MKONO SIO WA MNYIKA ANGALIA VIZURI ALAFU KASALI KWA KUOMBA USAMEHEWE KWA KUIDANGANYA JAMII

    ReplyDelete
  13. acha balaa zako we bwege, sisi tunachoangalia ni mapinduzi. kama imewezekana kwenye muziki, basi hata kwingine itafuata.mimi sio Chadema wala CCM ila nachotaka kukwambia watu wamechoka na uoga umetoka

    ReplyDelete
  14. sidani kama huo mkono ni wa myika

    ReplyDelete
  15. alocomment hapo juu ni ujinga mtupu.Freemasons kila kitu hata ambayo hayapo jenga hoja acha kutishia watu kwa dini.kama huna la kusema kaa kimya

    ReplyDelete
  16. Hacheni kuongea msiyoyajua. Mkono sio wa Manyika ni wa jamaa aliyesimama kulia kwa Sugu. Huo ni mkono wa kushoto na ni kama wa Manyika ulitakiwa kuwa ni mkono wa kulia. Msikurupuke kwenye vitu bila kufanya uchunguzi kwanza.

    ReplyDelete
  17. wewe was kwanza uliyetoa maoni hapo juu unataka kutu-divert kumpongeza sugu. unataka kutu-divert tuende kwa fabulous. nothing fabulous so far.

    ReplyDelete
  18. mmechakachua dhumuni kubwa la hizo pictures ; lengo ni kuonesha anti virus na mazishi rasmi ya clouds (prime time promotions) na sio chadema

    ReplyDelete
  19. huyo anonymous wa kwanza fala sana na hawa hawa ndio vibaraka wa clouds wanaoleta umbeya humu.....vinega baab kubwa bonge la show na hao walioenda kwenye hiyo show ya machoko leaders wametapeliwa tu

    ReplyDelete
  20. Inamaana kama ni Mnyika angevaaje saa mbili mkono wa kushoto na kulia? Msichafulie watu ovyo.

    ReplyDelete
  21. kwa kuhitimisha kwamba huo mkona si wa mnyika angalia mkono ulivyokaa,kama kweli ngekuwa wa mnyika kidole gumba kingekuwa upande wake au mnyika anahitirafu ya mkono?nimeona coment hizi za kipuuzi kwa kala tina(pina)

    ReplyDelete
  22. Mkono, mkono. Bra, bra, Myinka bra, Sugu bra braa, braa, divert braa, fee masons braa, bra, anony bwege bra bra,Chadema bra Adobe photoshop bra, braaa! aaa! br, br, saa mbili kushoto na kulia braa! ekh!

    ReplyDelete
  23. da mimi naona mchangiaji ameshawaelewa,imetosha waungwana

    ReplyDelete
  24. ......... mshikaji kachemsha kweli na imani zake za kukurupuka! nimewahi kushuhudia pale Mwenge kuna mtu na Hubiri mabo ya "Fremassons" ......... uongo mtupu ! wasikilizaji wake walikuwa wakawaida sana katika uwezo wa kureason ! Infact mkono wa kulia wa Mnyika amemshika bega la kushoto SUGU na inaonyesha alipozz wapigwe picha, na Mkono wake wa kushoto amevaa saa ! huyo jamma wa nyuma ya SUGU ndie aliye nyoosha mkono wake wa kushoto ! Jipange Mzee, humu kuna pita watu wenye uwezo mkubwa wa kureason !

    ReplyDelete
  25. sawa Mnyika ni freemasons! kwa hiyo wewe unasemaje? inakupunguzia nini na/au inakuongezea nini?

    ReplyDelete
  26. huwa mnakosa kazi ya kufanya au nini, mkono, mara freemason hebu muwe na akili ya kucomment kile kilicholetwa na mwandishi wa blog sio comment za watu. Huyu sugu hana mpya mshenzi wa tabia nasikia ametukana tu hapo kwenye hilo tamasha. Hana adabu hata kidogo amesahau kama na yeye amezaliwa na mwanamke na ametokea kwenye njia ambayo wote tumetokea huko huko, mshenzi w atabia

    ReplyDelete
  27. Big up Sugu we ni mkali na show yako ilijaza watu wengi kuliko ya Clouds. Walifikiri wakiweka show moja na wewe eti utakosa watu.
    SUGU UPO JUU JUU JUU ZAIDI YA CLOUDS.

    ReplyDelete
  28. We hapo juu ni mwanachama ndo maana unafikiri wote ni njia moja waache vijana wawaburudishe wananchi.Kama hupendi CHADEMA nyamaza usiwachafue tuache sisi wanachama wake.

    ReplyDelete
  29. Jamani eeh kuna mijitu mingine nahisi hata upeo wao ni kama wa kuku sasa chadema imetoka wapi na freemason imetoka wapi huyu Sugu alikuwa ktk burudani na amekuja kutumbuiza pimbi mwingine anaingiza sijui nin tena huyo mtu nadhani alikuwa leaders ameona picha tu amekurupuka na kulopoka maneno asiyoyajua kama wapo juu watakuwa juu tu na roho zenu mbaya mlitegemea mtamvurugia Sugu mmekwama na kuanzia leo clouds sifungulii tena maana hamna jema nyie bali unafiki mtupu.

    ReplyDelete
  30. Big Up Sugu wewe ni mzalendo wa kweli na wote walioohudhuria show yako ni watu wa ukweli sio waj-----.

    ReplyDelete
  31. great!! mr sugu, great jjmnyika! solidarity starts from home!!!

    young man united for Tanzania

    ReplyDelete
  32. NAONA HAPA MCHANGIAJI WA KWANZA KAWEKA HIYO TOPIC ILI WATU WASIZUNGUMZIE JUU YA TAMASHA NA KAFANIKIWA KWELI.NI SAWA NA WAABUNGE WA CHAMA FULANI KUACHA KUCHANGIA MJADALA WA KATIBA NA KUANZA KUTUKANA KWA CHADEMA KUTOKA NJE

    ReplyDelete
  33. WE MCHANGIAJI WA KWANZA UMEKURUPUKA USINGIZINI INAONEKANA UNAJIROPOKEA TUU LIONE SURA YAKO MBAYA INAELEKEA NDIO ZAKO HIZO, HUO MKONO SIO WA MNYIKA KABISAAAAAA AU MWENZETU WEWE KIPOFU NINI???? KUJIROPOKEA TUU NYIE NDIO WALE WALE WAMBEA LIONE KWANZA

    ReplyDelete
  34. Wewe unaesema sugu yupo kwenye kutoa burudani sio politik, umeona hayo magwanda? hivi tangu lini kwa wale tunaomjua sugu akapaform na magwanda kama sio politik?

    ReplyDelete
  35. Huyu jamaa aloiyesema CHADEMA ni Freemasons nadhan ana matatizo na nia yake anataka tuache kujadili jinsi Sugu na vijana wake walivyotupagawisha ili tuendelee na upuuzi wake, Hongera Sugu umetupa vitu tulivyovikosa long time, mi binafsi cjutii 5000 niliyoitoa kwenye kiingilio na 10000 kwa fulana, asante Suguuuuuuuuu

    ReplyDelete
  36. Ninefunga mjadala huu.

    Kilanja,
    Wambagara Mwisho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...