Mjumbe wa NEC ya CCM na Mbunge wa Singida mjini Mh Mohamed Dewji 'Mo' akistua baada ya kikao kirefu cha Halmashauri Kuu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. DUH MZEE ULIYEPIGA PICHA ZA MO UME COVER VIZURI SANA MANAKE ANAONEKANA AMERUDI KWENYE KIKAO MCHANGAMFU BAADA YA KUPIGA PAFU.

    ReplyDelete
  2. Fegi ni poa sana

    ReplyDelete
  3. UYU JAMAA MBUNGE WA UKWELI. KUNA WATU WANAMZINGUA UMO NDANI ADI AKAAMU AKALE PAFU KWANZA ILI ATAFAKARI MASWALA. NDO UKWELI UO ATA YEYE AKISOMA II COMENT ANAJUA UKWELI. WAZEE WANALALA NINI, WAKATI MAMBO YA MUHIMU YANA AMULIWA.

    ReplyDelete
  4. naomab uanachama wa ccm bwana MO...nifanyeje aisee...nisighite uanachama mbuyane.

    ReplyDelete
  5. QUIT SOMIKING MR MO IS A BAD HABIT NOT GOOD FOR YOUR HEALTH!! THANK YOU FOR NOT SMOKING ESPECIALLY IN PUBLIC!

    ReplyDelete
  6. huyu jamaa kwanini asiye kwenye mchakato wa urais miaka ijayo

    ReplyDelete
  7. MO tunaomba uwache sigara itakuua na tunakuhitaji.Kazi yako ni nzuri kaka Singida ipo juu.

    ReplyDelete
  8. nimeipenda sana ii ndo maana nataka nirudie rudie kukoment....au uguhanya ure mbuyane MO

    ReplyDelete
  9. kuna watu wanazaliwa vionozi kam huyu kaka, ni kiongozi haswa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...