Mfanyakazi wa Idara ya Udhibiti wa Mapato ya kampuni ya Vodacom Tanzania Maka Mwalwanda (kulia) akiwa ameshikilia kikombe cha zawadi ya kwanza ya makusanyo mazuri ya mapato kwa mwezi wa tisa kutoka kwa wateja wa malipo ya baada. Kushoto kwake ni Joseph Kyula aliyepata zawadi ya mshindi wa tatu. Mbali na vikombe watumishi hao walipatiwa pia zawadi ya fedha taslimu kama motisha ya kazi nzuri.
Home
Unlabelled
MOTISHA KWA WAFANYAKAZI WA VODACOM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mainjinia wanakesha hadi saa tisa kila siku kwenye server, Huduma inakua nzuri, wateja na mapato yaongezeka..... Zawadi zote zinaenda kwa wakusanya mapato na marketing!!!!
ReplyDeleteKaazi kweli kweli!