Mwakilishi mkaazi wa UNOPS nchini Sierra Leone, Omary Mjenga (kushoto) akiwa na Waziri wa Afya wa Sierra Leone, Mhe Hajjat Zainabu Hawa Bangura, baada ya mazungumzo yao makao makuu ya Wizara ya Afya,nchini humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ahsante sana mwakilishi wetu, keep up the good job!

    ReplyDelete
  2. Harafu mumependaza bwana wee!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...