Mkufunzi wa Lugha ya kichina YU WEN JUAN akiwa katika ufundishaji wa lugha hio hapo katika chuo cha uwandishi wa habari kiliopo Vuga Mjini Zanzibar.
 Mkufunzi wa lugha ya kichina YU WEN JUAN akiwaonesha wanafunzi kikaratasi kilicho andikwa lugha ya  kichina katika chuo cha uwandishi wa habari huko Vuga Zanzibar.

Naibu Waziri wa Mamlaka ya Redio,Filamu na Televisheni wa Jamhuri ya watu wa China LI WEI akizungumza na wanafunzi wanaofundishwa lugha ya kichina katika chuo cha Uwandishi wa Habari huko Vuga mjini Zanzibar.PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...