Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akizindua tawi la CCM la Mtaa wa Pamba House, jijini Dar es Salaam, leo. Licha ya mvua iliyokuwa ikinyesha uzinduzi huo ulijaa shamra shamra nyingi.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kushoto) akiungana na wanachama kushangilia baada ya kuzindua tawi la CCM la Mtaa wa Pamba House, jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimkabidhi kadi ya CCM mwanachama wa tawi jipya la CCM la Mtaa wa Pamba House,jijini Dar es Salaam leo.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akihutubia wakati wakihutubia baada ya kufungua tawi la CCM mtaa wa Pamba House jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akiwa na viongozi wa tawi hilo
Wanachama wapya wa tawi hilo wakila kiapo baada ya kupatiwa kadi na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye.
hamna jimbo. ndio mnakwenda zenu ccm. wananchi washachoka na sera zisizofanyiwa kazi. na pia mnaizaichi kwa tama ya kujifaidisha wenyewe poleni sana. chadema go go
ReplyDeletein short CCM hawana jipya, hii ni nchi ya chadema tu. CCM ipende isipende lazima mapinduzi yaje tu TZ.
ReplyDeleteWanachama wapya mmeingia CCM kwa imani ya kweli ya JEMBE na NYUNDO au mmefuata maslahi?...mpo ki chama kweli au mpo ki usanii bora mkono uende kinywani?
ReplyDelete