Uongozi wa jumuhia ya watanzania waishio New york na vitongoji vyake wameanda Chakula cha jioni na Bwana NAPE NNAUYE.

Bwana NAPE NNAUYE ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM, Yupo Nchini marekani kwa ziara ya kichama na anapata nafasi ya kukutana na wa Tanzania na kubadirisha mawazo na hasa kuzungumzia mwenendo mzima wa chama cha CCM. 

Dinner hiyo itafanyika

JACOB RESTAURANT,2695 8th Avenue, New York City, Between 143 & 144 (Harlem)
When: November 2nd, 2011 on Wednesday
Time: 4pm -7:30pm.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...