
Prince Charles (kushoto) akiwa na mazungumzo na Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, Ikulu mjini zanzibar.

Mapokezi ya Prince Charles na mkewe Camilla wakiangalia ngoma ya kibati baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Zanzibar leo. Picha na Martin kabemba.

Mwanaisha Ali (kulia) akimpaka hina Camilla baada ya kutembelea uwanja wa Ngome kongwe mjini Zanzibar
Royal umbrella
ReplyDeleteImeshageuka na kuwa Royal Hina, mtaguso.
ReplyDeleteTabasamu zote hapo zimehifadhiwa katika kumbukumbu kama Royal Smiles, upako.
ReplyDeleteKwao huku hina inapigiwa debe kuwa salama kuliko "Tatoo" zao. Siwajinga hao wanaijua hina. Ukweli hina ni utamaduni tuliojifunza kutoka kwa waarabu!!
ReplyDeleteNgoja awe allergic na hiyuo hena itakuwa apatoshi.
ReplyDeleteNimeamini wazungu wanaishi umri mrefu, yaani muonekano wa uzee wa prince bado ana wazazi wote wawili, ingekuwa hapa bongo angekuwa ameshawasahau.
ReplyDeleteDiet yao hawa inapikwa na watu wenye Ph.D za upishi, sio wewe unaekula maharage na mrenda unaweka karanga tele.
ReplyDelete