Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea wakati wa kufunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika leo Ubungo Plaza jijini Dar
Rais Dkt Jakaya Kikwete akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi zaidi ya 15, wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika leo Ubungo Plaza jijini Dar
Wadau waklimsikiliza Rais Dkt Jakaya Kikwete wakati akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. 
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimshangilia Rais Dkt Jakaya Kikwete alipokuwa akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika leo Ubungo Plaza jijini Dar. Picha na Ikulu


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. tunaomba link ya tanzania na chad

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...