Prince Charles akisaini kitabu cha wageni huku mkewe na wenyeji wake Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiangalia leo asubuhi Ikulu jijini Dar es salaam.
Mke wa Prince Charles Camilla, The Duchess of Cornawall, akisaini kitabu cha wageni huku mumewe na wenyeji wake Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiangalia. Picha na Ikulu
Kwa mapicha zaidi
BOFYA HAPA
Kwa mapicha zaidi
BOFYA HAPA
Ankal, ningependa kujua ujio wa Mtoto wa Malkia wa Uingereza ni kuhusu nini? Maana nasikia hata Mtoto wake Prince William (Duke of Cambridge and Duchess of Cambridge nao watafuata)... Ni maoni yangu.
ReplyDeletejamani anaejua hicho kidude chekundu ni cha nini anitoe ushamba maana wote hadi wachezaji sahivi huko EPL wanaweka ila sijajua ni kampeni ya nini haswaaa...
ReplyDelete@ nov 07,08:57:00 pm.
ReplyDeleteHicho kidude chekundu wanaviita Poppy.
Ni maalumu kwa ajili ya kukumbuka mashujaa wa Vita.
Huwa vinavaliwa kila mwaka miezi kama hii hapa United Kingdom.