Home
Unlabelled
siku hizi magazeti bwelele bongo, ushindwe wewe tu...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Magazeti bwelele. Je, Kazi bwelele pia? Maana hayo magazeti siyo ya bure. Hata kwenye picha huyo bwana anasoma vichwa vya habari katika kila ukurasa wa kwanza wa kila gazeti. Na baada ya hapo anaanza.
ReplyDelete..ila tatizo wanunuzio wachache.
ReplyDeleteWapiga chabo bwerere
Michuzi umeweka maoni yangu kapuni mara kadhaa. Ingawa ni kweli kuwa hakuna kazi hapa Tz. Huyo bwana mdogo anasoma magazeti yote kwa njia hiyo. Kama kweli unataka kuisaidia jamii kupitia blog yako hii, lazima uwe na ujasili. Kwa maana kuwa usiogope kuandika jambo dogo kama hili: HAKUNA KAZI TANZANIA. Michuzi usijipende sana maana ukijipenda sana hutoweza kuisaidia jamii, hutoweza kushiriki kuwakosoa viongozi wa sasa ambao wao wanadhani sisi wote ni watumishi wao au sisi wote tu wajinga. Nina maana gani kujipenda sana. Kujipenda sana ni pale mtu anapofikiria juu ya ustawi wake binasfi kuliko ustawi wa wengi. Huu ni ugonjwa ambao TZ tunapigana nao kwa sasa kwa nguvu zote kupitia blog yako kama ukiacha woga. Mtu anapoweka maslahi yake mbele kwa mfano maendeleo yake binafsi anavuluga na anashusha hadhi ya kazi yake. Na kazi yeyote nzuri inaposhuka hadhi lazima iporomoke. Ni sheria ya asili. Naamini haki itakufanya uwe maarufu kuliko udhalimu (Samahani sikukuita dhalimu) Tusitafute mapenzi, tuko kazini.
ReplyDeleteMDAU.