Baadhi ya Mafundi wa ujenzi, wakijenga ukuta kwa kutumia matofali ya kuchoma katika Soko la wakulima wa nyanya wa Kata ya Hembeti, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro, soko hilo litakuwa ni kituo cha kukusanyia zao la nyanya zinazolimwa na wakulima wa vijiji vilivyopo kwenye Kata hiyo kama walivyokutwa juzi Kijijini hapo. Picha zote na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...