TANGAZO

HAY: KUWASILISHA FOMU ZA USAJILI WA WAANDISHI WA HABARI KWA AJILI YA SHEREHE YA MIAKA 50 YA UHURU

KWA MARA NYINGINE TENA IDARA YA HABARI (MAELEZO) INAPENDA KUWAKUMBUSHA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KUWA, TAREHE YA MWISHO YA KUWASILISHA FOMU ZA USAJILI WA WAANDISHI WA HABARI KWA AJILI YA SHEREHE TAJWA IMEKWISHAPITA.

OFISI HII INATOA TENA NAFASI NYINGINE YA KUWASILISHA FOMU HIZO KABLA YA TAREHE 26/12/2011 SAA 9.30 MCHANA.

TUNAPENDA KUSISITIZA KUWA, HAKUNA MWANDISHI YEYOTE WA HABARI ATAKAYERUHUSIWA KUFANYA YA KUANDIKA HABARI ZA KATIKA SHEREHE HIZO KUWA NA  KITAMBULISHO MAALUM BAADA YA KUJAZA FOMU HIZO.

FOMU ZINAPATIKANA KUPITIA MTANDAO WA www.whum.go.tz AU OFISI YA BW. MWIRABI SISE – IDARA YA HABARI (MAELEZO).

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA UONGOZI
IDARA YA HABARI (MAELEZO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...