The chairman of TANZ- UK Dr John Lusingu talking live on Reading4U station with the Presenter Tony Fernandez about the organization, challenges facing Tanzania Community Association in UK and also 50th Tanzania Independence Celebration in London. Alongside Special Guest from Urban Pulse Creative Frank Eyembe chatting about the company and preparation for the Big day.
Thanks,
URBAN PULSE CREATIVE
Oh! Please behave yourself Frank,you are doing Interview with a chew gum in your mouth, you are not serious man. Be professional next time.
ReplyDeleteNi kweli lazima tujivunie mafanikio tuliyopata kwa miaka 50. Lazima tuipongeze ccm kwa hilo. Si haba japokuwa wangekuwa makini na wenye uzalendo tungekuwa mbali kuliko tulipofika. Tuna mambo mengi tunatakiwa kufanya tofauti na miaka 50 iliyopita. Ndio maana tunashangaa raisi kutaka kutuandalia katiba ambayo haioneshi mwanga wa mabadiliko ili miaka 50 ijayo turekebishe pale tulipokosea na tupate mafanikio yaliyotarajiwa.
ReplyDeleteNB: Mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha siasa lakini kile kinachofanya mazuri nitakipongeza.
Lusingu vipi mbona unaongea vitu vingine visivyoeleweka mkuu au ulikuwa haujajipanga vizuri? Global challenges zinakwendana vipi na maswala ya karatasi na uanafunzi!Your out of point Sir
ReplyDeletejamani kwanza kabisa huyo sio Frank Eyembe mwenyewe, kwa hiyo madongo yoyote siyo ya Frank as interviewer,John hebu ongea ukweli wa mtanzania halisi, ambayo ni 80% ya watanzania, usiongee kwa kuwa wewe uko Uk, kweli munasherehekea nini? miaka 50?? tuna nini na tumefaidika na nini katika kipindi hicho chote ukizingatia nchi nzima haijawahi kuwa na vita? watanzania wangapi bado hawajakombolewa na hii Tanzania huru ya leo?? hebu tumfikirie mtz aliyeko kijijini bila huduma yoyote ile ya muhimu kwa binadamu, halafu tunachekelea, very sad, hasa kwa mtu msomi unayeyajua hayo, jamani tuangalie wenzetu Rwanda mambo yanavyokwenda kwa kasi, waliokimbia nchi yao juu ya vita wanarudi kutokana na mabadiliko makubwa ya nchi yao, Muheshimiwa John mimi naomba uongelee twanga pepeta ambao wanakuja huko, na sio hili swala la miaka 50, maana hata hivyo unakua off point kama mdau alivyosema hapo juu. asanteni sana ni hayo tu, yananiuma mno, ohh TZ nchi yangu nakupenda sana ila watu wanakuharibu kupita kiasi!!
ReplyDeleteTANZANIA au TANGANYIKA ? najua hamuitaki hii historia ya MUUNGANO, lakini ni mapema sana kusema TANZANIA kwa kuwa Tanzania haijawahi kutawaliwa .
ReplyDeleteNa hiyo simu ni ya nini? Haiwezi kuachwa, switched off?
ReplyDelete