Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi akifurahia baada ya kukata utepe kuzindua mbio za kumi za Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika Februari mwakani. Wengine kwenye picha ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (kushoto), George Rwehumbiza, Mkuu wa Udhamini wa Vodacom, Mkuu wa Masoko wa GAPCO, Ben Temu na Mkurugenzi wa Michezo, Leonard Thadeo. Hafla hii ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Southern Sun jijini Dar es salaam. (Picha: Hisani ya Executive Solutions)
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Bw. Dioniz Malinzi akikata utepe kuzindua mbio za kumi za Kilimanjaro Marathon 2012 zitakazofanyika Februari mwakani. Wengine kwenye picha ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (kushoto), George Rwehumbiza, Mkuu wa Udhamini wa Vodacom, Mkuu wa Masoko wa GAPCO, Ben Temu na Mkurugenzi wa Michezo, Leonard Thadeo. Hafla hii ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Southern Sun jijini Dar es salaam. (Picha: Hisani ya Executive Solutions)
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akihutubia waalikwa katika uzinduzi wa mbio za kumi za Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika tarehe 26 Februari 2012. Hafla hii ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Southern Sun jijini Dar es salaam. (Picha: Hisani ya Executive Solutions)
- Mkurugenzi wa Executive Solutions, waratibu wa mbio za Kilimanjaro Marathon akiwatambulisha washindi wa kwanza wa mbio za Kilimanjaro Marathon 2003 wakati wa hafla ya uzinduzi wa maandalizi ya mbio za kumi za Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika Februari 26, 2012. Hafla hii ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Southern Sun jijini Dar es salaam. (Picha: Hisani ya Executive Solutions)
Executive Solutions, mnaweza vipi kuzumzia riadha bila kutambua uwepo wa katibu wa riadha?
ReplyDeletekatibu hana lolote badala kutafuta wadhamini kazi kulialia tu na serikali
ReplyDelete