Mhe. Mussa Azzan Zungu, Mbunge wa Ilala na Mwenyekiti wa CPA Tawi la Tanzania akipokea zawadi ya kitabu kuhusu Dominica toka kwa Spika wa Bunge la Dominica na Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Alix Boyd Knights wakati wa tafrija ya kuwakaribisha wabunge toka Tanzania wanaotembelea Dominica kwa ziara ya kikazi
Mhe.Beatrice Shellukindo,Mbunge wa Kilindi na Makamu Mwenyekiti wa CPA Tawi la Tanzania na Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake wa Jumuiya ya Madola Kanda Ndogo ya Afrika Mashariki akitoa neno la shukrani baada ya kukaribishwa rasmi Dominica. Wabunge wa Tanzania wako Dominica kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Kulia ni Mwenyekiti wa CPA Tanzania na Kiongozi wa Msafara, Mhe. Mussa Azzan Zungu,Mbunge wa Ilala.Picha na Saidi Yakubu, Ofisi ya Bunge
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...